World AIDS day 2019
Mgeni rasmi Mh. Jenister Mhagama, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Ajira na watu wenye Ulemavu akisalimiana na Mwenyekiti wa NACOPHA Bi. Leticia Mourice na Afisa mtendaji Mkuu wa NACOPHA Ndg. Deogratius Rutwatwa pamoja na viongozi wengine wakati alipowasili katika viwanja vya Rock City kwenye maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani yaliyofanyika kitaifa jijini Mwanza