Publication

Our Resources

TAARIFA KWA WAVIU KUHUSU CORONA

Resource
Corona ni Nini?
Huu ni ugonjwa unaoshambulia mfumo wa upumuaji
unaosababishwa na virusi vya Corona 2019 (COVID -19), ugonjwa
huu unaweza kuenea kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine.